iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
naomba namba zao mkuumkuu kunajamaa mm nawafaham wanashugulika na biashara hiyo na niwafundishaji. wafanyisha mazoezi so wanaweza kukusaidia cha msingi kama unaweza ni PM nikutumie namba zao.
wapo mwenge HOME GYM.
nazani kuweka namba zao hapa itakuwa sio sahihi bila kupata ruhusa yao.
ni namba zao binafsi.
eti wadau yule master wa gym mara nying analipwa how much.
na mwenye experience ya hii biashara anisaidie mchanganuo wake ikiwemo vifaa vinavyotakiwa na bei zake