Msaada wajasiriamali kuhusu biashara ya Gym

iron woman

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
147
Reaction score
19
eti wadau yule master wa gym mara nying analipwa how much.
na mwenye experience ya hii biashara anisaidie mchanganuo wake ikiwemo vifaa vinavyotakiwa na bei zake
 
wadau vip inamaana hakuna mwenye experience.
please nisaidieni
 
mkuu kunajamaa mm nawafaham wanashugulika na biashara hiyo na niwafundishaji. wafanyisha mazoezi so wanaweza kukusaidia cha msingi kama unaweza ni PM nikutumie namba zao.
wapo mwenge HOME GYM.
nazani kuweka namba zao hapa itakuwa sio sahihi bila kupata ruhusa yao.
ni namba zao binafsi.
 
naomba namba zao mkuu
 
eti wadau yule master wa gym mara nying analipwa how much.
na mwenye experience ya hii biashara anisaidie mchanganuo wake ikiwemo vifaa vinavyotakiwa na bei zake

vp mkuu naomba kujua mjbu ya swali lako me pia nafkilia kufanyj hyo kaz
 
Back
Top Bottom