Ms. Kadadaa jumapili Senior Member Joined Jul 9, 2013 Posts 102 Reaction score 48 Jun 22, 2014 #1 Habar wanajamvi, Nipo dar na ndio nimeanza kaz nimedunduliza nimepata 1m. naombeni mnishauri biashara ambayo italingana na huo mtaji pia haitahitaji ungalizi sana maana nachelewa sana kutoka kazini
Habar wanajamvi, Nipo dar na ndio nimeanza kaz nimedunduliza nimepata 1m. naombeni mnishauri biashara ambayo italingana na huo mtaji pia haitahitaji ungalizi sana maana nachelewa sana kutoka kazini
C Camp 05 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 3,016 Reaction score 2,883 Jun 22, 2014 #2 anzisha kijimradi cha kukopesha wafanyabishara wadogo wakupe kariba
Ekyoma JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,177 Reaction score 2,804 Oct 3, 2016 #3 Hii biashara kama ulianza kwa sasa utakua na mtaji usiopungua 20m