Msaada wajasiriamali

Msaada wajasiriamali

Ms. Kadadaa jumapili

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
102
Reaction score
48
Habar wanajamvi, Nipo dar na ndio nimeanza kaz nimedunduliza nimepata 1m. naombeni mnishauri biashara ambayo italingana na huo mtaji pia haitahitaji ungalizi sana maana nachelewa sana kutoka kazini
 
Hii biashara kama ulianza kwa sasa utakua na mtaji usiopungua 20m
 
Back
Top Bottom