TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,030
Niende moja kwa moja kwenye mada,nilipaki gari home asubuhi nimeenda job gari nimeiacha iko poa narudi home jioni hii nakuta gari inawasha taa za hazard jirani ananambia toka asubuhi linawasha taa ,nimejaribu kuliwasha limewaka na kutembea ila dashboard inaonyesha taa kama inavyoonekana kwenye dashboard