Msaada wajumbe gari inawasha hazard haizimi

Msaada wajumbe gari inawasha hazard haizimi

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
3,251
Reaction score
2,030
Niende moja kwa moja kwenye mada,nilipaki gari home asubuhi nimeenda job gari nimeiacha iko poa narudi home jioni hii nakuta gari inawasha taa za hazard jirani ananambia toka asubuhi linawasha taa ,nimejaribu kuliwasha limewaka na kutembea ila dashboard inaonyesha taa kama inavyoonekana kwenye dashboard
IMG_20201116_160320.jpg
IMG_20201116_160330.jpg
 
Washa gari, washa parking lights zima gari
kama tatizo bado lipo mtafute fundi umeme wa magari inaeza kuwa mambo ya fuse na bad relay
 
Electrical fault mkuu tafuta Fundi umeme , langu liliwasha reverse kama lako mzungu mmoja alikuwa nyuma Yangu kidogo aingie porini akijua namfuata kwa reverse
 
Itakuwa maji ya mvua yameingia kwenye mifumo ya umeme. Mimi kuna siku gari yangu ikawa inajiwasha yenyewe Ila haiwaki, watu was hom waliogopa na kujua labda Ni wezi kuchunguza hawapo. Tukasema majini labda Wanataka kuiba gari. Mwisho nikatoa waya mmoja wa battery ikatulia. Fundi umeme kuja kumbe Kuna relay sijui fuse ziliingia maji na bla bla kibao mwisho Hilo tatizo likaisha.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,nilipaki gari home asubuhi nimeenda job gari nimeiacha iko poa narudi home jioni hii nakuta gari inawasha taa za hazard jirani ananambia toka asubuhi linawasha taa ,nimejaribu kuliwasha limewaka na kutembea ila dashboard inaonyesha taa kama inavyoonekana kwenye dashboardView attachment 1627690View attachment 1627691
tutuo sikonge. 🤣 gari ilikumiss, kwanini uiache hom
 
Tutuos

Kumbe una gari...!?
Ni gari aina gani vile...!?

Bnafc ni fundi magari karibu kwa garage.
 
Back
Top Bottom