[emoji16]Electrical fault mkuu tafuta Fundi umeme , langu liliwasha reverse kama lako mzungu mmoja alikuwa nyuma Yangu kidogo aingie porini akijua namfuata kwa reverse
tutuo sikonge. 🤣 gari ilikumiss, kwanini uiache homNiende moja kwa moja kwenye mada,nilipaki gari home asubuhi nimeenda job gari nimeiacha iko poa narudi home jioni hii nakuta gari inawasha taa za hazard jirani ananambia toka asubuhi linawasha taa ,nimejaribu kuliwasha limewaka na kutembea ila dashboard inaonyesha taa kama inavyoonekana kwenye dashboardView attachment 1627690View attachment 1627691