Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

angefanya kama Chen nisinge mshtak baba alichofanya sio kawandikisha watoto wa mama mwingine Mimi inamaana Mimi sina hak ya kulisi
Urithi ,nini wewe kwani baba yako amekufa? Si bado yupo?

Kuna umri ukifika hayo mawazo yako utaona ni ya 'kipumbavu' na utajuta sana hata kwa kufikiria hivyo ulivyofikiri.

Achana na mambo ya urithi komaa upate chako uishi kwa Uhuru,na naamini utafanikiwa hadi hao ndugu zako watatamani 'kukuroga'!
 
Umejuaje wosia wa baba yako kabla hajafariki? Unajuaje kama ni baba yako? Tafuta mali zako hacha kunga'nga'a mali za watu. Hacha ubwete
nani kwakwambia nangangania? rud soma vzr post yang
 
Pole, naelewa fika, Ushaur unaouhitaj sana niule wakutilia mkazo hisia zako.


Inawezekana kabisa kabisa, hapa wengi watakuambia Mpotezeee.


Una umri gan???. Kwa nchi za wenzetu Suala km lako, bila kujalisha Umri wako, linatosha kabisa Huyo mzee kuchukuliwa hatua.

Inawezekana kabisa 100% hivi ulivo leo, nimatokeo ya mzee wako kukukataa.

Ivo basi, ni vema utafute msaada wa kisheria.

Ukishindwa kabisa kabisa, ndio umuachie Mungu.
 
shukran mkuu Nina miaka 24
 
Unalilia urithi unajuaje kama baba yako ndiye ataanza kufa na kukuache wewe.

Labda hajakupa kwa sababu nae anajua utakufa na kumwacha yeye

Dogo tafuta kazi ya kufanya ujiingizie kipato sio kuwaza urithi mimi babu yangu alikufa na miaka 113 sasa baba yangu angekua na akili kama zako si leo tungekua na hali mbaya sana hebu assuming huyo mzee wako akija kufa na miaka let say 95 wewe utakua na umri gani, utakaa mpaka umri huo ukimsubiria afe ili upate huo urithi

Huna tofauti na yule mwenzako mwenye akili za ki CCM baba yake alimtimua nyumbani na wewe naona ni walewale pumbavu kabisa.
 
shukran mkuu Nina miaka 24
24 yrs, kwa hapa bongo? Asikudanganye mtu ..km ungekua unasoma maana yake ungekua Chuo au ndo unamaliza .


Mtu akikuambia Muache tu mpotezee.. Maana yake ni uwe na uhakika wa unachokifanya sasa, na kwauo umri ni changamoto .

Labda km utaamua kujitosa..lkn swali ni ujitose wapi????.


Wee komaa na huyo mzee, Tena Mama Yako mpole sana ,komaa na uyo mzee, kwa sasa usimfate kwa maneno ya busara busara, kwasasa fata msaada wa sheria basi.

Komaaa upate kitu chakuanzia maisha, kama alikunyima Elimu, asikunyime Mtaji.


KOMAA MDOGO WANGU ... Huyo mama wakambo ,asikuzengue wala nn. Wee komaa, Hawezi kukufanya kitu.
 
nani anae lili ulisi rud soma vzr post yang uelewe nilicho Maind mpaka nikaamua mamuz haya Mimi silili ulis
 
shuklan brother ang
 
Urisi au ulisi
Mkuu wwe huna Shea hapo kwani menye mali ana haki ya kumpa na kumnyima yeyote urisi wake
 
Uza hiyo simu yako unayotumia Anza kufuga Kuku Ni fanya biashara ndogondogo ili badaye na wewe watoto wako wasije kukushitaki Kama ambavyo unataka kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…