Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

bas ningejijua sina baba lakin yeye alinikubal kwa moyo wake kabisa kuwa Mimi mwanae hata hii elimu niliyo nayo ya kuunga unga alinipatia yeye
Kati ya kitu unachotakiwa kujua baba anahaki ya kumpa urithi mtu anae mtaka yeye na akaamua kukunyima kwa sababu maalumu

Na hii mentality yako inaonesha umechukua sumu kwa mamaako ndipo mzee alishawasoma kaamua kukufungia vioo
 
Hivi kumbe na mama zenu wapo singo mazaz afu kutwa kutukana kina dada humu eti singo maza na matakataka kibao????
 
Pole. Achana na mpango wa kushitaki.

Mpaka umeweza kununua simu na kujisajili JF na kuleta thread, ina maanisha kuwa umekuwa mkubwa na unaweza kujitafutia kipato.

Washukuru wazazi wako, usimlaumu baba maana hujui kilitokea nini akaachana na Mama yako.

Pia huwezi kujua mchango wa mama wa kambo katika mali alizochuma na Baba yako.

Baba katumia busara sana kutokukupa urithi maana mali nyingi zimechumwa na Mama wa kambo na au mama wa kambo ana mchango mkubwa sana katika kuchuma.

Kushitaki Ni haki yako ila itakuumiza maisha yako yote maana Kwanza ni gharama za fedha na muda kufungua kesi.

Tafuta kazi, jitegemee, samehe mara sabini.
Plus kuweka uadui usioisha kati yake na baba ake
 
Tafuta cha chako,acha kuwaza mali ya baba,prove them wrong,waoneshe we kidume,jichange,komaa kivyako,pambana,ili ukipata asijiinue mtu kukuamrisha,halafu uliwahi muuliza baba ako kama alichonacho alipewa na baba ake,
Acha fikra hizo,acha utegemezi,hakujali mtu jichange kivyako,Fanya maisha yako rahisi
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.

Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
 
Achana na akili ya utegemezi, tumia nguvu nyingi hizo kufanya ubunifu upate kitu cha kukuingizia kipato. Mtoto ni wa mama unaweza kukuta hata huyo unayemsumbua siyo baba yako mzazi. Wamama tuna siri nyingi sana baas tuu watoto hawajui.
 
Assume angekuwa baba yake hamjui angefanyaje
Kuishi bila kuambiwa Baba yako ni fulani..

Ni tofaut nakuishi ukijua una baba .

Na hayo mawili, huja kuamua maisha ya mtoto .

Inawezekana sababu aliambiwa ana baba mfanyakazi, aliamin kila jambo litakua sawa .?? Nani anajua???.

Hata Ivo nikuulize... kama kutokua na wazazi sio inshu, Kwanini kuna vituo vya kulelea watoto yatima,nakuhakikisha wanasoma nakupataahitaji yao mpaka pale kwa kuwezeshwa watakapokua huru??

Kwann wasiachwe wajue wafanye nn wenyewe ???
 
Hapo anamaanisha wewe si mtoto wake,unalazimisha nini we b*ya,jikate,ishi kivyako,ikiwezekana na ubini badili,ila usiweke kinyongo,kisasi wala kuwawazia mabaya ili baraka zikufuate,sisi kaka zako tulishapita huko
angefanya kama Chen nisinge mshtak baba alichofanya sio kawandikisha watoto wa mama mwingine Mimi inamaana Mimi sina hak ya kulisi
 
Kawapa kwa sababu ni zake, sasa unataka kumzuia asiwape? Na anakunyima kwa sababu ni mali zake pia, utamalzimisha akupe? Halafu hizo mali kachuma na mama yao? Umeelewa?
cjamzuiya kuwapa izo Mali ila Mimi kinacho nikitisha mpaka nataka kwenda mahakaman nikuninyima hata kidogo nilicho muomba akat anajua mwanae ninashida now sina kaz yoyote ninayo ifanya lait mkuu ungejua shida nliyo nayo nayeye baba maisha anayo ishi usinge zubutu hata kumtetea
 
Kawapa kwa sababu ni zake, sasa unataka kumzuia asiwape? Na anakunyima kwa sababu ni mali zake pia, utamalzimisha akupe? Halafu hizo mali kachuma na mama yao? Umeelewa?
cjamzuiya kuwapa izo Mali ila Mimi kinacho nikitisha mpaka nataka kwenda mahakaman nikuninyima hata kidogo nilicho muomba akat anajua mwanae ninashida now sina kaz yoyote ninayo ifanya lait mkuu ungejua shida nliyo nayo nayeye baba maisha anayo ishi usinge zubutu hata kumtetea
 
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.

Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.

Hivi mbona mnapenda kuwaambia wazaz wenu wawape urithi?unaahad na Mungu kuwa baba ataanza kuondoka? Khaa hebu ona haya... .hujui tu .Mali za urithi hazikai..tafuta zako wewe ..mradi una mikon miwili na miguu miwili na akili Safi! Nini takataka inayoitwa urithi!!khaa. .alafu ukute unalilia kiwanja Cha 20*20😏
 
Bora wewe una nafuu Mimi baba yangu mzazi aliniambia hawezi kunisomesha Wala hategemei Mimi kuja kumsaidia ,Kwanza ana watoto wengi.Nanikifanikiwa Sana ntakuwa kuli stendi ya mabasi.Bado najikongoja na hatuna stori mpaka kufa.
 
cjamzuiya kuwapa izo Mali ila Mimi kinacho nikitisha mpaka nataka kwenda mahakaman nikuninyima hata kidogo nilicho muomba akat anajua mwanae ninashida now sina kaz yoyote ninayo ifanya lait mkuu ungejua shida nliyo nayo nayeye baba maisha anayo ishi usinge zubutu hata kumtetea

Hebu acha ujinga wewe...na ujuha...hizo Mali hata akiamua kuwala wapita njia ninzake. Unaaminine akikupa hela ununue Boda utasurvive nayo vipi? Ila aiseee...hivi hujui hela za kupewa Zina masimango..achana na neno Mali za baba..wewe songa front tafuta zAko..utaona Kama babako hatakutop up chochote ..na wazaz wanataka mtu smart sio kitu legelege halijiongezi ..tafuta kwanza walau uoneshe uhai na matumaini ukipungukiwa kidg dingi anaweza kukupa...unakera balaa wewe jamaa
 
Miaka 24 ni mtoto? Hivi hujui kuwa kuna vituo vya kulea watoto wa mitaani? Unadhani hao watoto hawana wazazi?
Weee Jamaa, kwann kijana aliye chuo anasoma ana miaka mfano 25 kisheria sio mtoto

Lkn kwann bado hutegemea Baba na Mama yake????

Embu jaribu kua Serious hata kwa kiwango cha ukubwa sawa na punje ya mchele, alafu njoo tuishi kwenye uhalisia wa maisha yetu Bongo.
 
Achana na akili ya utegemezi, tumia nguvu nyingi hizo kufanya ubunifu upate kitu cha kukuingizia kipato. Mtoto ni wa mama unaweza kukuta hata huyo unayemsumbua siyo baba yako mzazi. Wamama tuna siri nyingi sana baas tuu watoto hawajui.
Mimi sio tegemez nilicho kuwa naomba kwake nikidogo2 chakwanzia maana now cna chochote cha kuanzia
 
Kama umzima wa afya na viungo vyote vya mwili unavyo, kasoro yako naamini imo kichwani tu, pa1 na kuwa we ni zao la zinaa acha kuitafuta laana kwa kulazimisha baba'ako akupe mtaji au ukamshtaki .
Hata kama hali yako kimaisha kwa sasa si nzuri nikuhakikishie tu lo lote utakaloliamua juu ya baba'ako likiwa la kumfehesha au achukie jiandae kutaabika zaidi ya sasa.
Fanya kazi yo yote iliyo halali kwa bidii huku ukimuomba Mungu utafanikiwa kuliko waliopewa urithi.
 
Weee Jamaa, kwann kijana aliye chuo anasoma ana miaka mfano 25 kisheria sio mtoto

Lkn kwann bado hutegemea Baba na Mama yake????

Embu jaribu kua Serious hata kwa kiwango cha ukubwa sawa na punje ya mchele, alafu njoo tuishi kwenye uhalisia wa maisha yetu Bongo.
Hivi unadhani kila mwanachuo anategemea wazazi?

Afu ujue kutofautisha mwanafunzi na mwanakijiji.

Nakuuliza swali. Hivi mzazi kumpa mtoto urithi ni lazima?
 
Back
Top Bottom