Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Bora wewe una nafuu Mimi baba yangu mzazi aliniambia hawezi kunisomesha Wala hategemei Mimi kuja kumsaidia ,Kwanza ana watoto wengi.Nanikifanikiwa Sana ntakuwa kuli stendi ya mabasi.Bado najikongoja na hatuna stori mpaka kufa.
Usijaki na hayo maneno mkuu wewe soma au fanya kazi kwa bidii ...mie ukinikatisha tamaa unaniongezea Sana akili ya kutafuta aisee..usiumie Tena tabasam