Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

mkuu ukimchokonoa sana atakuja kukwambia sababu ya kukupotezea ndio utaumia zaidi we achana nae tafuta zako mbona michongo mingi tu mjini kwa elimu yako inaonekana ya magumashi tafuta kazi hata ya udereva utatoboa
nipe bas iyo kaz ya udereva mkuu kama nilahis2 kupata
 
haina haja hata DNA yan hata nikiweka picha hapa yakwangu na yababa huwez kutofautisha jins alivyo nilandisha
Umeshauriwa hapa kuwa tayari umekwishavuka umri wa kuwa tegemezi, sasa ni zamu yako kumsaidia na kumlea huyo baba yako.

Kwa kifupi pambana uboreshe maisha yako.
 
Hivi unadhani kila mwanachuo anategemea wazazi?

Afu ujue kutofautisha mwanafunzi na mwanakijiji.

Nakuuliza swali. Hivi mzazi kumpa mtoto urithi ni lazima?
Mzazi kumpa mtoto urithi inategemea imani au umetumia sheria gani.

Kwaimani ya kiislam ni lazima.
 
Mbona unakuwa na lugha iliyokosa ustaarabu,jitahidi kureact bila maneno km pumbavu nk,
Mimi nakushauri achana na huyo mzee wako,jichanganye na vijana wa bajajj,jifu nze kuendesha,baada ya muda utakuwa miongoni mwa waendesha bajaji( za watu)
baada ya muda tena utakuwa mmiliki wa bajaj.

Kufuatilia sana hizo mali kwaweza kukuingiza ktk shida na migogoro ,kupoteza muda mwingi,uadui nk
 
Umeshauriwa hapa kuwa tayari umekwishavuka umri wa kuwa tegemezi, sasa ni zamu yako kumsaidia na kumlea huyo baba yako.

Kwa kifupi pambana uboreshe maisha yako.
alio wapa magar na nyumba niwakubwa zaid kwangu
 
Mkuu mimi sio muislamu lakini najua kwa Islamic mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya urithi
Yes, ana haki.

Ila hili tokeo la baba wa hovyo, kilichomtokea mtoa mada ni huyo baba utopolo.
 
nani kakwambia shule nilikataa acha kuongea kwa kukalili pumbav. Ipo sababu ambayo ilifanya nisiendelee na shule na chazo ni baba ila stak kuizungumzia
wewe wenzako wakati tunaenda shule wewe ulikua unawinda ndege porini saizi unavuna ulichopanda
 
sawa ngoja niende bas mahakaman ili akanipe sababu za kutokunipa nawengine kuwapa
Sasa hili si umfuate tu umuulize ana kwa ana,na yeye ndiyo mwenye Mali atakupa majibu, ambayo unatakiwa urizike nayo! Huko Mahakamani utapoteza muda na pesa, hakuna cha bure huko zitakutoka hata za chai za Vibandani wakati unasubiri faili lako litafutwe!!
 
Yes, ana haki.

Ila hili tokeo la baba wa hovyo, kilichomtokea mtoa mada ni huyo baba utopolo.
Kwa kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana haki sio anahaki namaanisha hanaaa chake

Hata kisheria urithi ni na wosia wa mzazi ni siri ya mtoa wosia sasa huyu dogo amejuaje nyaraka za urithi wa babaake?
 
Kwa kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana haki sio anahaki namaanisha hanaaa chake

Hata kisheria urithi ni na wosia wa mzazi ni siri ya mtoa wosia sasa huyu dogo amejuaje nyaraka za urithi wa babaake?
Nilimaanisha hana chake kiislam, sijui huko kiserikali.

Ila mwisho nitaendelea kumpa lawama huyo mzee zao la yote haya ni upuuzi wake alioufanya miaka 24 nyuma kiimani tunasema kamdhurumu huyu mtoto.

Sasa mtoto anakuwa hana haki kwa kosa silake zinaa za mtu mwengine.
 
Kwa mtu ambae sio mwanafunzi utegemezi kwa mzazi mwisho miaka 18 basi

Sasa huyu ana miaka 24 na sio mwanafunzi anacholalamika ni nini?

Anasema kaka zake wamepewa magari, jee anajua hayo magari wamechangia vipi katika kuyatafta?

Yaani mke na watoto wametoka jasho na damu kutafta mali afu wewe uje simple tu eti na mimi nipeni bodaboda kisa wao wana magari! Are you serious kweli?
 
alio wapa magar na nyumba niwakubwa zaid kwangu
Ila Sasa na wwe usije aanza kuwachikia ndg zako kisa Baba kawapa Mali! Wwe mbaya wako ni huyo father wako aliyekutema kwenye mgawanyo wa Mali!! Au anaweza kua anakusoma kwanza akili zako Kama zimekomaa unajua nini unachotaka kufanya au unafuata mkumbo wa Vijana wenzio mtaani!!
 
Mbona unakuwa na lugha iliyokosa ustaarabu,jitahidi kureact bila maneno km pumbavu nk,
Mimi nakushauri achana na huyo mzee wako,jichanganye na vijana wa bajajj,jifu nze kuendesha,baada ya muda utakuwa miongoni mwa waendesha bajaji( za watu)
baada ya muda tena utakuwa mmiliki wa bajaj.

Kufuatilia sana hizo mali kwaweza kukuingiza ktk shida na migogoro ,kupoteza muda mwingi,uadui nk
hiyo kaz ya bajaj ndio iliyokuwa naifanya mwez wa 6 nilivamiwa nikapolwa bajaj co kilichofwata nikuuza kila ki2 nilicho nacho nkumlipa mwenyewe bajij yan mpaka now npo2 cna chochote chakuanzia
 
Kwa mtu ambae sio mwanafunzi utegemezi kwa mzazi mwisho miaka 18 basi

Sasa huyu ana miaka 24 na sio mwanafunzi anacholalamika ni nini?

Anasema kaka zake wamepewa magari, jee anajua hayo magari wamechangia vipi katika kuyatafta?

Yaani mke na watoto wametoka jasho na damu kutafta mali afu wewe uje simple tu eti na mimi nipeni bodaboda kisa wao wana magari! Are you serious kweli?
Jamaa ajalilia utegemezi kaomba Backup support hata uwe Hustle kihasi gani Backup support ni kitu cha kawaida sana.

Unless useme kwenye kumshitaki....kuna Angle nyengine.
 
Nani aliekwambia msaada unaombwa mahakamani?
Mkuu vyema ukamakinika na mtu kaandika nini.

Nimekujibu pale uliposema utegemezi mwisho 18...nimekwambia jamaa sio tegemezi anajimudu mwenyewe alichoAsk kwa mzazi wake ni Backup Support baada ya mambo yake kushuka.

Wewe unaeleza mambo ya mahakama wapi nimezungumzia mahakama...ndio nilipokueleza Unless kwenye kumstaki iyo ni Angle nyengine.
 
hiyo kaz ya bajaj ndio iliyokuwa naifanya mwez wa 6 nilivamiwa nikapolwa bajaj co kilichofwata nikuuza kila ki2 nilicho nacho nkumlipa mwenyewe bajij yan mpaka now npo2 cna chochote chakuanzia
mkuu kuna utajiri wa punje ule kwa mwandulame njombe jalibu huo unaweza kutusua
 
Tafuta vyako uyo sio baba yako, muulize mama yako iyo mimba aliiokota wapi? Umenunua smartphone unaweka bando bado unataka kutunzwa? Mshitaki mama yako akuoneshe baba yako.
 
Back
Top Bottom