narrybezo
Member
- Sep 30, 2018
- 22
- 9
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]Sasa ndio naelewa kwanini mtoto wako ana tabia mbaya kwa wageni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]Sasa ndio naelewa kwanini mtoto wako ana tabia mbaya kwa wageni
Endelea na maisha ,Ni ngumu kumlazimsha itakuumiza Bure!nimesamehe mkuu ndio maana niliamua kuwachia hao alio wandikisha kwenye ulisi Mali zote ila Mimi nilimuomba mtaji kidogo2 hata wa boda used maana saiz nipo2 sina kaz yoyote napo kagoma
Hapo ndiyo kwenye kazi,labda Baba alisha sanuka kua hapo kaingizwa chaka! DNA muhimu kwanza na mengine ndiyo yafuate!!Urithi wa baba yako ni halali yako! Achana na wanaokuambia uachane nao! Mali za wazazi/mzazi ni urithi wa mtoto! Kikubwa anakutambua na familia yake inakutambua! Unacho cha kwako hapo kwa baba yako!
Hawezi kukupa, wababa wa hivyo nawajua akili ilishatekwa na mkewe huyo hata ukishitaki utapoteza muda mwingi sana kwa sababu hauna ushahidi kuwa ana kipato cha kukusaidiaMimi sio tegemez nilicho kuwa naomba kwake nikidogo2 chakwanzia maana now cna chochote cha kuanzia
Kesi hiyo ilitokea hapa kwetu. Ni ya namna sawa na hii. Hazina tofauti sana. Mama alishirikiana na wanae wakamshtaki mume atoe Urithi/mgao kutokana na pesa ya kustaafu.24 yrs, kwa hapa bongo? Asikudanganye mtu ..km ungekua unasoma maana yake ungekua Chuo au ndo unamaliza .
Mtu akikuambia Muache tu mpotezee.. Maana yake ni uwe na uhakika wa unachokifanya sasa, na kwauo umri ni changamoto .
Labda km utaamua kujitosa..lkn swali ni ujitose wapi????.
Wee komaa na huyo mzee, Tena Mama Yako mpole sana ,komaa na uyo mzee, kwa sasa usimfate kwa maneno ya busara busara, kwasasa fata msaada wa sheria basi.
Komaaa upate kitu chakuanzia maisha, kama alikunyima Elimu, asikunyime Mtaji.
KOMAA MDOGO WANGU ... Huyo mama wakambo ,asikuzengue wala nn. Wee komaa, Hawezi kukufanya kitu.
Ndo huyu?Sasa ndio naelewa kwanini mtoto wako ana tabia mbaya kwa wageni
Hukatazwi kusikitika, we sikitika weeeeee, ila usimlazimishe akupe (kumpeleka mahakamani) sababu huna haki hiyo, mali ni zake na ana uamuzi wa nani ampe na nani amnyimecjamzuiya kuwapa izo Mali ila Mimi kinacho nikitisha mpaka nataka kwenda mahakaman nikuninyima hata kidogo nilicho muomba akat anajua mwanae ninashida now sina kaz yoyote ninayo ifanya lait mkuu ungejua shida nliyo nayo nayeye baba maisha anayo ishi usinge zubutu hata kumtetea
Haya maisha, watoto wa mjini, wanakuambia, huu mchezo, hauhitaji hasira...acha kulopoka nani kakwambia Mimi sio mwanae? Nisingekewa mwanae cangenikana kabla hata cjazaliwa
Sasa ndio naelewa kwanini mtoto wako ana tabia mbaya kwa wageni
sawa ngoja niende bas mahakaman ili akanipe sababu za kutokunipa nawengine kuwapaHukatazwi kusikitika, we sikitika weeeeee, ila usimlazimishe akupe (kumpeleka mahakamani) sababu huna haki hiyo, mali ni zake na ana uamuzi wa nani ampe na nani amnyime
pambana mkuu ndoa zina siri nyingi si ajabu huyo sio baba yako sema anatumia busara hataki kukwambia ukweli alafu respect is earned pambana tafuta mali zako watakutafuta kama kweli wanataka undugu na wewe alafu kuna msemo unasema mtegemea cha ndugu hufa maskinikwani hao alio walisisha alitafuta nao au umeandika2 ilimlad nawewe uonekane umechangia
wewe inaonekana hata shule ulikua unakataa hutaki kusoma unategemea kutusua kupitia urithi which is wrong ungezingatia shule usingekua na mawazo ya kijinga namna hiikinacho nifanya nishitak sio kunyima nihak mkuu watoto wengine kawapa magar wengine nyumba lakin Mimi kaninyima hata mtaji wa boda boda akat anajua mwanae sina kaz yoyote ya kufanya
mkuu Mimi sio ndugu yake nimtoto ake.nanisingekuwa mtoto wake baba ngenikana kabla hata cjazaliwa na kipindi mama anaujauzoto wng baba na mama walitengwa had kanisan kwao waliko kuwa wanasali.pambana mkuu ndoa zina siri nyingi si ajabu huyo sio baba yako sema anatumia busara hataki kukwambia ukweli alafu respect is earned pambana tafuta mali zako watakutafuta kama kweli wanataka undugu na wewe alafu kuna msemo unasema mtegemea cha ndugu hufa maskini
mkuu ukimchokonoa sana atakuja kukwambia sababu ya kukupotezea ndio utaumia zaidi we achana nae tafuta zako mbona michongo mingi tu mjini kwa elimu yako inaonekana ya magumashi tafuta kazi hata ya udereva utatoboamkuu Mimi sio ndugu yake nimtoto ake.nanisingekuwa mtoto wake baba ngenikana kabla hata cjazaliwa na kipindi mama anaujauzoto wng baba na mama walitengwa had kanisan kwao waliko kuwa wanasali.
nani kakwambia shule nilikataa acha kuongea kwa kukalili pumbav. Ipo sababu ambayo ilifanya nisiendelee na shule na chazo ni baba ila stak kuizungumziawewe inaonekana hata shule ulikua unakataa hutaki kusoma unategemea kutusua kupitia urithi which is wrong ungezingatia shule usingekua na mawazo ya kijinga namna hii