Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.

Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
UNA UHAKIKA HUYO NDO BABA YAKO??
 
ndio maana nikawachia vyote Mimi nikaomba ki2 kidogo2 lakin bado ananizingua
Achana na ndingi yako huyo siyo ndg yako! Wwe shirikiana na ndg zako ongea nao vizuri na wala usioonyeshe unyonge, nakuambia ukweli lazima kuna mmoja atakuja kukutoa tu ki Maisha!!
 
mzee wangu yuko hivi da aliku

mzee wangu yuko hivyo nilikua naona ananionea nikimuomba gari nikapigie bakora mtaani ananiambia nunua lako da nilipopata kazi tu kitu cha kwanza nikatafuta mpira wa motoo nikaenda kumchapa nao bakora hakuamini alikaa kama mwezi hivi akanitumia sms kuuliza nimenunua shi ngapi ha ha ha ha respect is earned
wewe nifala zaid ulikuwa unamuomba gar kwajili ya kulia bata jitafakal
 
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe.

Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda kwake.

Basi nikaendelea kukaa na mama mzazi nikiwa na na shida na baba nilikuwa nampigia simu baba au namfuata kazini kwake MUST Mbeya.

Mwaka jana mwezi wa pili baba akawa amestaafu kazi lakini kila nikimuomba chochote hata mtaji wa boda boda ili na mimi nijiajiri na aniambia hana ananipa kalenda tu.

Na kinachonifanya niumie zaidi mpaka saa hizi baba kawandikisha urithi wote watoto anaoishi nao mimi sipo kwenye urithi wake wowote aliouandika .

Nikimwambia basi mimi nipe mtaji niachane na huo urithi napo hataki. Nitumie sheria ipi wakuu nimshtaki na mimi niweze pata chochote kama hao watoto wake wengine.
KWANI BABA YAKO ALIKUZAA ILI UTUMIE MALI ZAKE TAFUTA ZA KWAKO ZAKE NI ZAKE VINGINEVYO UTAISHIA KUMUUWA NA UKISHINDWA AU UKIWEZA UTALANIWA MILELE MAMA YAKO NDIYO SHETANI MWANDAMIZI ANAYEKUJAZA UPEPO NA KIBURI, BABA YAKO HANA TATIZO NA WEWE BALI AMEFANYA HIVYO KUMKOMOA MAMA YAKO ALIYEKUJAZA UJINGA NA PENGINE ALISHAJARIBU KUMDHURU BABA YAKO KWA NJIA ZISIZOONEKANA AKASHINDWA UKITULIA BABA YAKO NI MTU MWEMA SANA ILA TABIA YA MAMA YAKO NDIYO INAMFANYA AKUOGOPE NA WEWE KWANI KUKUSAIDIA WEWE NA WEWE HUTAMTUPA MAMA YAKO UTAMSAIDIA KUMSHAMBULIA BABA YAKO NDIYO KISA CHA UMASKINI WAKO NARUDIA TENA NINA UZOEFU WA WATOTO KAMA WEWE MMEDANGANYWA NA MAMA ZENU NANYIE NKAINGIA KWENYE VITA ISIYOWAHUSU KAZI KWENU.
 
Umenena vyema! Shida ni kwamba mleta mada atakuelewa? Je ana hiyo akili ya kukuelewa ulicho andika?

Ni maajabu sana kijana wa miaka 24 amekaa analalamika eti hajapewa mtaji na baba yake.

Kama taifa sijui tunaenda wapi walahi.
 
MKuu aelewe asielwe wapo wajinga kama yeye Mungu atawasaidia kuelewa kupitia andiko langu wewe binafsi nakushukuru sana kwa kuniunga mkono
 
Jamaa ajalilia utegemezi kaomba Backup support hata uwe Hustle kihasi gani Backup support ni kitu cha kawaida sana.

Unless useme kwenye kumshitaki....kuna Angle nyengine.
KUOMBA KUNA MAWILI KUKUBALIWA AU KUKATALIWA UKIKATALIWA UTAKWENDA MAHAKAMANI ???
 
24 yrs, kwa hapa bongo? Asikudanganye mtu ..km ungekua unasoma maana yake ungekua Chuo au ndo unamaliza .

Mtu akikuambia Muache tu mpotezee.. Maana yake ni uwe na uhakika wa unachokifanya sasa, na kwauo umri ni changamoto .

Labda km utaamua kujitosa..lkn swali ni ujitose wapi????.

Wee komaa na huyo mzee, Tena Mama Yako mpole sana ,komaa na uyo mzee, kwa sasa usimfate kwa maneno ya busara busara, kwasasa fata msaada wa sheria basi.

Komaaa upate kitu chakuanzia maisha, kama alikunyima Elimu, asikunyime Mtaji.

KOMAA MDOGO WANGU ... Huyo mama wakambo ,asikuzengue wala nn. Wee komaa, Hawezi kukufanya kitu.
Mkuu uko sahihi.
Lakini ukiangalia vizuri hapa kosa ni la mama mzazi la mtoa mada.
Kosa lake ilitakiwa afuatilie tangu mtoa mada akiwa mdogo kuhusu mahitaji ya chakula,malazi,mavazi,ada za shule kwa njia za kisheria na akiwa mbishi mshahara wake unakatwa kilazima.
Lakini kwa sasa hivi itamsumbua sana kwa sababu amevuka miaka 18 tayari ni mtu mzima.
Ukimpeleka mahakamani atakujibu"Wewe ni mtu mzima tayari pambana utafute mali zako halafu ugawe kwa watoto wako"
Nimeshashuhudia mifano ya kesi kama hizi huwa hazifiki mbali na hazina matokeo yoyote.
Wa kumlaumu hapo ni mama mzazi,na ukija kufuatilia kiundani utakuja kugundua mama mzazi kuna kitu alikuwa anamkwaza baba naye akaamua kususa na ndio inakuadhibu hadi wewe leo hii.
Hakuna mzazi anamchukia mwanae bila sababu kama kila kitu kipo sawa.
 
Swali ni kwamba mleta mada kwa akili aliyo nayo atakuelewa?
 
kinacho nifanya nishitak sio kunyima nihak mkuu watoto wengine kawapa magar wengine nyumba lakin Mimi kaninyima hata mtaji wa boda boda akat anajua mwanae sina kaz yoyote ya kufanya
Mkuu kuna mahali mnakosea kati ya wewe au mama yako jikagueni vizuri.
Kwa maelezo yako anaonekana huyo mzee ni mtu mwenye uwezo asingeshindwa kukupa hata milioni 5 ya mtaji.
Lazima kuna kitu mnamkwaza akaamua kuwapotezea moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom