Msaada wajuzi wa toyota passo

Msaada wajuzi wa toyota passo

mm ni fundi umeme mkuu najua hata hiyo engine kwa tatizo alilo eleza atakuwa kaionea kuishusha na juu ya gearbox kama utakuwa umesoma post yangu ya mwanzo nishamwambia kuwa asiiguse hilo tatizo sio la gearbox ashugulike kwanza na engine. ndio maana nimemuuliza gearbox inatatizo gani?
Poa mkuu me pia fundi though na deal na heavy duties
 
Poa mkuu me pia fundi though na deal na heavy duties
kama huto jali mkuu naomba namba yako ?maana huwa nakutana sana na kesi za heavy duty nakumbuka mara ya mwisho kuna mbangu bangu 1 alikuwa na hino yake inamzingua huko msumbiji alikuwa anataka nikamrekebishie lkn nilikosa mashine tuu .namba yangu ni 0717228064
 
Humu ni kilakitu aisee yangu ni 0713522447
 
AL MADINA COMPUTERS
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat, Excavator.,Roller,MAN,HINO,VOLVO ,IVECO, JAC, KIA,JIANG FENG,BULLDOZER,AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30
2.Magari size ya kati- $50
3.Magari aina ya Fuso- $70
4.Lories-$100
5.Excavator-$200
6.other Heavy Equipment-$300-$400

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
 
Back
Top Bottom