Msaada wakisheria tumetapeliwa nyumba

MTOTO WA BABU

Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
5
Reaction score
5
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba na tajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria kama tunaweza kufanikiwa au laa, kama mtaniruhusu plz naomba niendelelee.

===
Kuna tajiri 1 tulimuuzia nyumba yetu ya urithi tulikua 6 na tulikua na nyumba 2 na shamba. Na hati zetu tuli zihifadhi mahakamani tulivyouza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwambia yule tajiri kua hati zetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nina watu wangu nitawatuma wata zitafuta nikizipata nitachukua ya kwangu ambayo tumeuziana ya kwenu nitarejesha

Basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hati ambayo mmeniuzia na hati ya shamba hiyo nyumba nyIngine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile za nyumba akachukua akatumia zile document za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement

Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu badala ya kwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndio wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia ni kweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yeye alikua hajui kwa sababu yeye ana nyumba nyingi kwa hiyo mwanasheria wake alichanganya yupo tayari kubadirisha umiliki nakuturudisha.

Akasema hivyo but Mpaka sasa tukimfata anatuzungusha tu nisaidie mkuu ndugu zetu ni wadogo ndio tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
 
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Nenda kwa msajili wa Ardhi kwanza muangalie status ya hati, kama hakuna transfer iliyofanyika, tafuta mwanasheria m-file caveat kwa msajili kuzuia transfer kufanyika huku mkiendelea na taratibu nyingine ikiwemo kuomba hati mpya.
 
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Hebu nawa kwanza uso halafu rudi sasa utueleze vizuri
 
Nenda kwa msajili wa Ardhi kwanza muangalie status ya hati, kama hakuna transfer iliyofanyika, tafuta mwanasheria m-file caveat kwa msajili kuzuia transfer kufanyika huku mkiendelea na taratibu nyingine ikiwemo kuomba hati mpya.

Kwa haraka sana
 
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Hebu weka kisa chote hapa na ushahidi ukiweza ili uweze kusaidika kwa haraka na kwa wepesi
 
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Pole, elezea naamin unaweza kupata mawazo mzuri ukifuata yakakusaidia
 
Shida watu wengi huwa wanaenda kukopa hela kwa hao matajiri kwa kuweka dhamana hati za nyumba au mali zingine kisha wanashindwa kulipa alafu wanakuja kwenye jamii kuomba huruma. Unapokopa kwa kuweka dhamana elewa huo ni mkataba tayari na hizi habari za kusema alikopa fulani na nyumba ni ya familia huwa ni ujinga tu. Unapokopa kwa kuweka dhamana ya kitu jibu lake ni very straight, ukishindwa kulipa dhamana inakwenda
 
Lakini pamoja na mkataba kuna mikataba ambayo siyo halali mbele ya sheria ambayo unaweza kuishinda
 
Kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .

Na hati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma wata zitafuta nikizipata ntachukua ya kwangu ambayo tumeuziana yakwenu ntarejesha

Basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hti ambayo mmeniuzia na hti ya shamba hiyo nyumba nyengine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile zanyumba akacukua akatumia zile docmt za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu baala yakwake

Sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndo wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia nikweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yy alikua hajui kwa sababu yy anyumba nyingi kwahiyo manasheria wake alichanganya yupo taya kubadisha umiliki nakuturudisha .

Akasema hivyo bt Mpaka ss tukimfata anatuzungusha tu nisaidi mkuu nduguzetu niwadogo ndo tegemeo letu hiki kibanda

0687955648
 
Kama huyo tajiri ni mchaga basi mmekwisha, maana hao ndiyo wako radhi wafanye chochote kile hata Kama ni kibaya mradi wazulumu Aridhi za watu!! Pambana Mkuu usimlegezee, maana hapo bado anakutega!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Na kama huyo tajiri sio mchaga unashauri afanyaje?
 
Kama huyo tajiri ni mchaga basi mmekwisha, maana hao ndiyo wako radhi wafanye chochote kile hata Kama ni kibaya mradi wazulumu Aridhi za watu!! Pambana Mkuu usimlegezee, maana hapo bado anakutega!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wachaga wasipokupopoa kwa matusi na maneno ya kejeli niite MFALME nimekaa pale [emoji117][emoji143][emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…