MTOTO WA BABU
Member
- Mar 31, 2011
- 5
- 5
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba na tajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria kama tunaweza kufanikiwa au laa, kama mtaniruhusu plz naomba niendelelee.
===
Kuna tajiri 1 tulimuuzia nyumba yetu ya urithi tulikua 6 na tulikua na nyumba 2 na shamba. Na hati zetu tuli zihifadhi mahakamani tulivyouza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwambia yule tajiri kua hati zetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nina watu wangu nitawatuma wata zitafuta nikizipata nitachukua ya kwangu ambayo tumeuziana ya kwenu nitarejesha
Basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hati ambayo mmeniuzia na hati ya shamba hiyo nyumba nyIngine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile za nyumba akachukua akatumia zile document za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement
Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu badala ya kwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndio wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia ni kweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yeye alikua hajui kwa sababu yeye ana nyumba nyingi kwa hiyo mwanasheria wake alichanganya yupo tayari kubadirisha umiliki nakuturudisha.
Akasema hivyo but Mpaka sasa tukimfata anatuzungusha tu nisaidie mkuu ndugu zetu ni wadogo ndio tegemeo letu hiki kibanda 0687955648