Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.. Possibly post traumatic disorder...? yaani bado uko very negative (hasira, chuki, kinyongo .nk) na kusalitiwa na msichana wako mliyeachana.. Hakisha kuondoa hizo hisia hasi moyoni kwako kwa kumsamehe kwa dhati kabisa ..with total full impact ... all will be ok!!
Jipe muda zaidi kabala hujaanzisha mahusiano............................wenyewe wanasema fanya soul searching! nafsi yako haiko tayari; bado una makovu ya maumivu so unahitaji kujipumzisha at least kwa sasa jitahidi kuw an urafiki wa kawaida nao uwe kwa kiasi ili kusijengeke ukaribu.
usitafute msichana kwa kum 'replace'
huyo wako wa zamani..
tafuta 'mbuzi wa alalbadiri' kwanza lol
Kha!
Ngoja apate mbuzi pori,albadiri itadunda!
hukutakiwa kusoma hii lol
mwambie huyoUnataka girlfriend wa nini? labda tuanze hapo. Maana kama unataka girlfriend just because hauna, basi ndio maana hufanyi juhudi za kuhakikisha unapata. Siku utakutana na yule anae kusisimua na unamtaka kweli, utaona mwenyewe unamngangania, bila kuambiwa how to do it!
Wat i suposd 2do ni kukomaa bt huwa nakata tamaa mapema xana nikzan labda ntaumia tenaUnataka girlfriend wa nini? labda tuanze hapo. Maana kama unataka girlfriend just because hauna, basi ndio maana hufanyi juhudi za kuhakikisha unapata. Siku utakutana na yule anae kusisimua na unamtaka kweli, utaona mwenyewe unamngangania, bila kuambiwa how to do it!
2b honest,nafsi yang inahtaj kuwa na m2 cz huwa naumia xana nnapowaona wapendanao wakiwa pamoja
pole sana. ni PM nikuliwaze2b honest,nafsi yang inahtaj kuwa na m2 cz huwa naumia xana nnapowaona wapendanao wakiwa pamoja