daniel danya
Member
- Aug 21, 2014
- 71
- 2
Guyz nimemaliza form 6 dic yeah nilisoma CBG NA TOKEO LIKAJA HIVI......
Chemistry-C
Biology-C
Geography-B
Gs-C
Bam-C......
Mara baada ya TCU kutangaza tarehe ya application nilifanya application kwa facult za AFYA coz ndo kitu nacho penda hasa MEDICINE coz ndo facult Nazo jua kuwa soko la ajira ni zuri na mtonyo ni upo vizuri.
Nilipitia kitabu cha TCU VIZURI NA KUCHAGUA VYUO NA FACULT ZAKE na requerment zao nikizingatia cutt point zao baada ya kufikiria sana nilifika hatua ya kuomna hivi
HURBET- DOCTOR OF MEDICINE point walikuwa wanahitaji 4.5 means nne kutoka kwenye chemia na bios na 0.5 kutoka kwene physics/mathematics
IMTU- GENERAL MEDICINE AND SURGERY point walizo kuwa wanahitaji 4.5 kama ilivyo hurbert na watu wanao hitajika hurbert ni 112 na imtu ni 176
KAMPALA-PHARMACY point walizo kuwa wanahitaji ni 4 kutoka kwenye chemia na bios watu wanao hitajika ni 570
MUHIMBILI-NURSING point wanazo taka ni 6 means kutoka kwenye chemia,bios na georg ambapo mm nina 7 lakini watu wanao hitajika ni 36
UDOM- NURSING point wanazotaka ni 4.5 kutoka kwenye chemia,bios na georg hapo napo nina 7 watu ni 46 wanao hitajika.
APPLICATION ZINAFUNGWA TAREHE 31 sasa nilikuwa naomba ushauri kutoka kwenu wadau mnisaidie je hizo application niache kama zilivyo au nibadirishe kama kuna sehemu nibadirishe nisaidie. WAPI NI BADIRI, NIWEKE NINI NA KWA NINI. au una ushauri gani kwangu kuhusu hizo facult nn nifanye na mm sector ya afya ndio nayo ipenda.
Kiukweli nahitJi sana msaada wako na ushauri wako kufanikisha hili zoezi ili niweze kwenda chuo nisaidieni ndugu zangu
N.B USINIKASHIFU,USINITUKANE ILA NICHANE UKWELI NINI NIFANYE PLZ USIPITE BILA KUNISAIDIA NITAKUWA TAYARI KUPOKEA USHAURI WAKO PIA UNAWEZA NITAFUTA WHATSAPP KWA NAMBA 0654463082 ukitaka kunipa msaada zaidi.AHSANTENI