Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Nina vigezo vyote vya kuomba scholarship fulani kupitia TCU isipokuwa kigezo kimoja tu: umri umevuka mstari, yaani nina miaka zaidi ya 25, kwa sura nina baby face si unajuwa watu waliozaliwa 197* hatujaathiriwa sana na 'kuku wa kisasa'! Hata vyeti vyangu vya o/a level ni vya majuzi tu japo ni P00/**.
Wanajamvi nipe ushauri nifanyeje?
Nashukuru sana kwa michango yenu.
Wanajamvi nipe ushauri nifanyeje?
Nashukuru sana kwa michango yenu.