Msaada wako Msomi Mwenzangu.

Msaada wako Msomi Mwenzangu.

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Nina vigezo vyote vya kuomba scholarship fulani kupitia TCU isipokuwa kigezo kimoja tu: umri umevuka mstari, yaani nina miaka zaidi ya 25, kwa sura nina baby face si unajuwa watu waliozaliwa 197* hatujaathiriwa sana na 'kuku wa kisasa'! Hata vyeti vyangu vya o/a level ni vya majuzi tu japo ni P00/**.
Wanajamvi nipe ushauri nifanyeje?
Nashukuru sana kwa michango yenu.
 
so unataka kutushawishi tukushauri kugushi umri?
 
Nina vigezo vyote vya kuomba scholarship fulani kupitia TCU isipokuwa kigezo kimoja tu: umri umevuka mstari, yaani nina miaka zaidi ya 25, kwa sura nina baby face si unajuwa watu waliozaliwa 197* hatujaathiriwa sana na 'kuku wa kisasa'! Hata vyeti vyangu vya o/a level ni vya majuzi tu japo ni P00/**.
Wanajamvi nipe ushauri nifanyeje?
Nashukuru sana kwa michango yenu.

Nina mashaka na usomi wako!!!!
 
Sio unanipeleka kwa 'Kova' mkuu?
Dah kama polisi wangekuwa wanafanya kazi hivyo basi ni wajinga tu wangeshikwa,wewe piga tu simu umueleze shida mwambie umetumwa Jaga.
 
Asante sana kwa msaada wako!
 
Ah mm napita,but mm nlijua nivyeti 2 vinagushiwa kumbe hadi umri!hii ndo dunia wanajamv!
 
Back
Top Bottom