Nina vigezo vyote vya kuomba scholarship fulani kupitia TCU isipokuwa kigezo kimoja tu: umri umevuka mstari, yaani nina miaka zaidi ya 25, kwa sura nina baby face si unajuwa watu waliozaliwa 197* hatujaathiriwa sana na 'kuku wa kisasa'! Hata vyeti vyangu vya o/a level ni vya majuzi tu japo ni P00/**.
Wanajamvi nipe ushauri nifanyeje?
Nashukuru sana kwa michango yenu.
Muulize huyu mtu m_sayi@yahoo.com atakusaidia mtumie email ama mpigie simu 0765327790
Dah kama polisi wangekuwa wanafanya kazi hivyo basi ni wajinga tu wangeshikwa,wewe piga tu simu umueleze shida mwambie umetumwa Jaga.Sio unanipeleka kwa 'Kova' mkuu?