Msaada wako ni muhimu.pitia hapa tafadhali

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
430
Reaction score
61
Habari wa-JF, Naomba mwenye uelewa anisaidie kuhusu ishu hii ifuatayo,ikiwa moja ya cheti cha mtu kimeandikwa kwa kugeuza,unatakiwa ufanye nini ili majina yote yaweze kutambulika kisheria?Kwa mfano cheti cha primary na secondary kina jina la Barack Obama Jaluo,alafu cha chuo kikaandikwa Obama Barrack Jaluo.Ili haya majina yatambulike yote kuwa yako kisheria ni nini unahitajika kufanya?
 
Cheti cha chuo huanza na surname kisha middle name halafu jina lako
 
Cheti cha chuo huanza na surname kisha middle name halafu jina lako
Ndo hapo kuna confussion manake dogo kaomba chuo nje ya nchini ndo wamemwambia nini kinathibitisha kuwa majina yote yanatumika kumtambua yeye kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…