Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
Habari wa-JF, Naomba mwenye uelewa anisaidie kuhusu ishu hii ifuatayo,ikiwa moja ya cheti cha mtu kimeandikwa kwa kugeuza,unatakiwa ufanye nini ili majina yote yaweze kutambulika kisheria?Kwa mfano cheti cha primary na secondary kina jina la Barack Obama Jaluo,alafu cha chuo kikaandikwa Obama Barrack Jaluo.Ili haya majina yatambulike yote kuwa yako kisheria ni nini unahitajika kufanya?