Msaada wako ni muhimu sana

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
253
Habari zenu wana jf
Nmekua nkipata tenda mbalimbali nje ya dar watu wakihitaj kazi zangu kama vile printed tshirts,lebo za bidhaa ila nmeshindwa kufanya nao kazi kutokana na kutofahamu njia salama ambayo naweza kuhakikisha wanapata kazi zangu pale wanapohitaji
Naomba wanajf mnisaidie namna ninayoweza kusafirisha kazi hizo katika vifurushi vidogo na kuhakikisha zinafika kwa walengwa
Msaada wenu ni muhimu kwangu kwan nmedhamiria kupanua soko la kaz zangu
Shukurani
 
Mchango wenu wa mawazo ni muhimu sana kwangu
Tafadhali msisite kuchangia
 
You are not serious, kusafirisha mzigo ndo kikwazo? Watu wanahangaikia masoko, soko unalo eti kikwazo ni kusafirisha? Watu wanaagiza bidhaa CHINA wapo Dar na mzigo unafika, kwa hiyo mtu akiagiza bidhaa CHINA unataka WACHINA waje hapa walalamike watafikishaje mzigo huku? Badilika we jamaa ulimwengu wa leo wa ujsiliamali tatizo ni soko siyo usafirishaji.
 
Asante kwa changamoto naomba unisaidie njia nayo weza kusafirisha bidhaa hizo tafadhali
Maana ndo lengo la kuweka uzi huu nmeyaona makosa yangu nataka nijirekebishe
 
Asante kwa changamoto naomba unisaidie njia nayo weza kusafirisha bidhaa hizo tafadhali
Maana ndo lengo la kuweka uzi huu nmeyaona makosa yangu nataka nijirekebishe

tumia fastjet!
 
Asante mkuu vp kuusu kutumia mabasi ya mkoani kama dar express
 
kwanza nakupongeza kwa kuwa na good market ya kazi zako unazo fanya.inategemea unapelwka wapi mizigo yako kama mkoani si unatumia mabasi si wana huduma ya kusafirisha mizigo maana ukisafirisha mzigo unalipia na wanakupa risiti.mimi naona njia rahisi kwako ni kwa kutumia mabasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…