muggyen
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 347
- 253
Habari zenu wana jf
Nmekua nkipata tenda mbalimbali nje ya dar watu wakihitaj kazi zangu kama vile printed tshirts,lebo za bidhaa ila nmeshindwa kufanya nao kazi kutokana na kutofahamu njia salama ambayo naweza kuhakikisha wanapata kazi zangu pale wanapohitaji
Naomba wanajf mnisaidie namna ninayoweza kusafirisha kazi hizo katika vifurushi vidogo na kuhakikisha zinafika kwa walengwa
Msaada wenu ni muhimu kwangu kwan nmedhamiria kupanua soko la kaz zangu
Shukurani