teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile setup ikaondoka nasasa hivi haipo mwanzoni nilikuwa nikichomeka modem kwa mara ya kwanza inajiinstall na kubaki na icon yake kwenye desk top, kwa sasa hiyo kitu hakuna. ninachohitaji ni kupata set up yake ili ni install kwenye computer yangu.