teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Mjomba hii sio modem Ni kimeo nimetumia modem za zte, vivo na hii kifupi nyingi huwa na haya matatizo na wakati mwingine uki update inasolve kwa muda tu, kisha inaleta huo usumbufu, modem zipo huawei tu sijui kwingine.Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile setup ikaondoka nasasa hivi haipo mwanzoni nilikuwa nikichomeka modem kwa mara ya kwanza inajiinstall na kubaki na icon yake kwenye desk top, kwa sasa hiyo kitu hakuna. ninachohitaji ni kupata set up yake ili ni install kwenye computer yangu.
View attachment 1958603
Umetafuta niniNimetafuta sana lkn sijapata ndio maana nikaja huku nikijua wataalamu jf wapo na njua hawashindwi kitu sema bado nasubiria
Watu walishaondoka kwenye modern wanatumia hotspot +WiFi za simu . Hukwo watu walishaondoka siku nyingiKama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile setup ikaondoka nasasa hivi haipo mwanzoni nilikuwa nikichomeka modem kwa mara ya kwanza inajiinstall na kubaki na icon yake kwenye desk top, kwa sasa hiyo kitu hakuna. ninachohitaji ni kupata set up yake ili ni install kwenye computer yangu.
View attachment 1958603
Mimi mwenyewe natumia hotspot lakini hii ni kwa ajili ya kazi za kanisaniWatu walishaondoka kwenye modern wanatumia hotspot +WiFi za simu . Hukwo watu walishaondoka siku nyingi
Watu walishaondoka kwenye modern wanatumia hotspot +WiFi za simu . Hukwo watu walishaondoka siku nyingi