Msaada wako tafadhari!

Msaada wako tafadhari!

lunogelo

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
46
Reaction score
5
Wadau kuna kijana amemaliza form 4 mwaka 2006 akapata div 3 ya points 23 kwa mchanganuo wa civics B, history C, geography D, Kiswahili C, English C, Biology F, Math C. Mwaka 2010 akasoma cheti cha sheria ktk chuo cha uongozi wa mahakama lushoto na kumaliza mwezi july mwaka huu kwa ufaulu wa upper second ya 3.8, GPA. Je kuna uwezekano wa kijana huyu kujoin digrii ya sheria kama upo tafadhari naomba unitajie hivyo vyuo. Ahsanteni
 
Mwambie ajaribu saut au tumain university.
 
Jamani TCU si watoa guideline yao aende posta zinapatikana akaangalie kama kuna ewezekano
 
Jamani TCU si watoa guideline yao aende posta zinapatikana akaangalie kama kuna ewezekano

ok ndugu tutafanya hivyo ila tulitaka kujua kama kuna mdau yoyote hata humu anayeweza tupa mwangaza
 
Nadhani TCU wameshakataza hiyo mambo. Kwa uhakika zaidi fatilia ktk kitabu cha tcu.
 
Back
Top Bottom