kibhopile
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 1,513
- 765
wadau nisaidieni kwa hili, ofisi yangu ilikuwa na vumbi jingi, so nilimpisha mtu wa usafi ili asafishe, but baada ya kurudi nikakuta vumbii lote limejaa kwenye lap top yangu.nikaamua kufuta kwa phomeclene, kwa nje na kwenye keyboard, sasa baada ya kuwasha naona keyboard hairespond kabisa, pls help me out wht should i do? kila kitu fresh lakini keyboard tuu.yeyote mwenye wazo.