msaada wako unahitajika.

msaada wako unahitajika.

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
1,513
Reaction score
765
wadau nisaidieni kwa hili, ofisi yangu ilikuwa na vumbi jingi, so nilimpisha mtu wa usafi ili asafishe, but baada ya kurudi nikakuta vumbii lote limejaa kwenye lap top yangu.nikaamua kufuta kwa phomeclene, kwa nje na kwenye keyboard, sasa baada ya kuwasha naona keyboard hairespond kabisa, pls help me out wht should i do? kila kitu fresh lakini keyboard tuu.yeyote mwenye wazo.
 
Ulitakiwa kabla ya kufanya foam cleaner laptop utumie Air Blower. Nadhani Foam cleaner has nothing to do with vumbi .

So try to Air blow it
 
nashukuru mkuu,but nilikuwa nasema my keyboard hairespond kabisa yani imegoma i cant type, no more...
 
Vifaa vya laptop ni plug and play. Kama unaweza kuifungua ifungue na utoe kifaa kimojakimoja. Kisha ipulize kwa kutumia blower ili kuondoa vumbi. Rudishia vifaa na uendelee kutumia laptop yako. La kama huwezi, ipeleke kwa fundi wa karibu na umweleze afanye ka nlivyokueleza.

Next time ukitaka kusafisha ofisi yako iondoe laptop kwanza kisha ndo uendelee na zoezi la usafi. This warning is also applied to desktop.
 
thank u bro.
 
nashukuru mkuu,but nilikuwa nasema my keyboard hairespond kabisa yani imegoma i cant type, no more...

Kama ukiwasha keyborad inakuwa detected then tatizo kutakuwa kitu possibly ni uchafu unaozuia keystoke unazotype zisdisplay. Hatua ya kwanza pulizia blower kwenye kyeboar kama kuna kitu kinasabaisha tatizo kinaweza kuodoa tatizo.

kitu ulichofanya wewe ni sawa na kupaka rangi mbao kabla ya kuipiga msasa . sasa ile foam cleaner inaweza kusabisha hata uchafu ugande kirahisi. unatakiw kwanza upige msasa ambayo kwa case yako ni air blower alafu ndo utumie foam cleaner.

Altenatively jaribu kutafuta keybord ipachike. external keyboard ikikubali bado hisi zangu itakuwa uchafu ndo unasababisha inboard keyboad isifanye kazi.

Kama alivyokushauri babamtu peleka kwa fundi maana laptotp kufungua kwake sio rahisi kama desktop
 
Back
Top Bottom