wadau nisaidieni kwa hili, ofisi yangu ilikuwa na vumbi jingi, so nilimpisha mtu wa usafi ili asafishe, but baada ya kurudi nikakuta vumbii lote limejaa kwenye lap top yangu.nikaamua kufuta kwa phomeclene, kwa nje na kwenye keyboard, sasa baada ya kuwasha naona keyboard hairespond kabisa, pls help me out wht should i do? kila kitu fresh lakini keyboard tuu.yeyote mwenye wazo.
nashukuru mkuu,but nilikuwa nasema my keyboard hairespond kabisa yani imegoma i cant type, no more...Ulitakiwa kabla ya kufanya foam cleaner laptop utumie Air Blower. Nadhani Foam cleaner has nothing to do with vumbi .
So try to Air blow it
thank u bro.Vifaa vya laptop ni plug and play. Kama unaweza kuifungua ifungue na utoe kifaa kimojakimoja. Kisha ipulize kwa kutumia blower ili kuondoa vumbi. Rudishia vifaa na uendelee kutumia laptop yako. La kama huwezi, ipeleke kwa fundi wa karibu na umweleze afanye ka nlivyokueleza.
Next time ukitaka kusafisha ofisi yako iondoe laptop kwanza kisha ndo uendelee na zoezi la usafi. This warning is also applied to desktop.
nashukuru mkuu,but nilikuwa nasema my keyboard hairespond kabisa yani imegoma i cant type, no more...