Msaada wako wa mawazo,,usinipite rafiki.

richb

Member
Joined
May 2, 2015
Posts
47
Reaction score
6
nimesoma pure art o level na advance, nikaomba kusoma MIFUGO mwaka 2009,kupitia KATIBU mkuu,nikapata nikasoma diploma in livestock production,nikaajiriwa 2012.Tatizo nataka nikasome Sua bachelor ya kwanza, mwaka Jana nikaomba kupitia Nacte System, ikanijibu kwa bachelor nilizoomba no not erigible,chini yake wakasema sina msingi Wa masomo ya sayansi.Nikawa nimeshindwa kwa mwaka Jana,mwaka huu nipo kwenye mpango tena,naomba mnisaidie nifanyaje,maana nahitaji kubaki kwenye idara ninayoifanyia kazi ya MIFUGO.please help me.
 
dah mtihani huu ila watakuja wanao jua
 
Ulipoomba si wameweka pre-requisite zao, sasa su ufanye madarasa ya jioni upate hizo credit
 
Ndo huna vigezo.usilazimishe utakuja kuua Ngombe za Masai.shauri zako

Ni bingwa Wa matibabu kuliko wale waliosoma sayansi,I mean ni mtaalam mpaka operation za wanyama,anatomy imelala hapa,ninachoitaji unisaidie ninataka kusoma degree ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…