richb
Member
- May 2, 2015
- 47
- 6
nimesoma pure art o level na advance, nikaomba kusoma MIFUGO mwaka 2009,kupitia KATIBU mkuu,nikapata nikasoma diploma in livestock production,nikaajiriwa 2012.Tatizo nataka nikasome Sua bachelor ya kwanza, mwaka Jana nikaomba kupitia Nacte System, ikanijibu kwa bachelor nilizoomba no not erigible,chini yake wakasema sina msingi Wa masomo ya sayansi.Nikawa nimeshindwa kwa mwaka Jana,mwaka huu nipo kwenye mpango tena,naomba mnisaidie nifanyaje,maana nahitaji kubaki kwenye idara ninayoifanyia kazi ya MIFUGO.please help me.