Wana jamii niliomba kazi kwa kupitia jukwaa hili kwa njia ya email,sasa jamaa wwameniambia nitume portfolio of work kulingana na nilichokuwa nimeomba.tatizo ni kwamba sielewi hiyo fortfolio of work ni nini na natakiwa kujibu au kutuma nini.naombeni msaada wenu wakubwa.