Yasin Yahya
Member
- Jan 18, 2013
- 33
- 0
Nimefanya mtihan mwaka jana form 4
na niliambulia
B/KEEPING- D
COMMERCE- D
BIOLOGY - D
B.MATHS - C
nime0mba Chuo nilitaka kusoma Account nimekosa sijafahamu hadi n0w nifanye nini?
Mawaz0 yenu muhimu kwangu
na niliambulia
B/KEEPING- D
COMMERCE- D
BIOLOGY - D
B.MATHS - C
nime0mba Chuo nilitaka kusoma Account nimekosa sijafahamu hadi n0w nifanye nini?
Mawaz0 yenu muhimu kwangu