habari za jioni wana jf,nimekuwa nikifanya kazi kwa m2 binafsi kwa zaidi ya miezi 8,lakini tarehe 1,mwezi huu,amekuja ofisini na kunitaka nimkabidhi ofisi yake na vi2 vingine nlivyokuwa nimekabidhiwa, nami nikafanya ivyo,nikamkabidhi kila kitu salama, chakushangaza, hakunilipa mshahara,wangu akidai, atanipa kesho, yake, mpaka mudahuu hajanilipa anasema anataka akague, kama kunakitu, nimemuibia ili anikate mshahara, sina pakwenda nikimpigia simu hapokei alafu naona nikienda police atahonga.