Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Njoo pmHabari wakuu
Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti.
Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake.
Yuko Mwanza Igoma ana miaka 23 elimu yake kidato cha nne.
Namba yangu ni 0764 339 400 kwa ataeguswa kumsaidia.
Asanteni familia ya JF.
Ya kwanguHii namba yake ama ya kwako.
Anataka kazi gani na malipo ya kiasi gani??Habari wakuu
Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti.
Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake.
Yuko Mwanza Igoma ana miaka 23 elimu yake kidato cha nne.
Namba yangu ni 0764 339 400 kwa ataeguswa kumsaidia.
Asanteni familia ya JF.
Yeyote unayohisi anaweza kuifanya binti wa umri huo, ila angalau malipo yaanzie laki moja maana ni tegemezi pia kwa bibi yake,bado mahitaji yake binafsi n.kAnataka kazi gani na malipo ya kiasi gani??
Nimekucheki naona haujarespond.Njoo pm
Nimerespond mkuu!Nimekucheki naona haujarespond.
Wachek was kampuni ya mabasi ya Til is ho wanataka watuHabari wakuu
Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti.
Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake.
Yuko Mwanza Igoma ana miaka 23 elimu yake kidato cha nne.
Namba yangu ni 0764 339 400 kwa ataeguswa kumsaidia.
Asanteni familia ya JF.
Kuandika rahisiWachek was kampuni ya mabasi ya Til is ho wanataka watu
Kuandika rahisi
Kanambia ashafanya ya hivi ila changamoto ni kuwa unakuta siku mauzo yakiwa madogo boss anachukua pesa yote nasema si unaona leo hela sio nyingi.Mie aniuzie meza ya matunda hapo hapo igoma na awe anauza na ndizi pia. Iyo laki ataipata nadhani. Yaani yeye atakuwa boss atakuwa ananilipa mie. Mie naweka tu mtaji yeye akomae Sasa wote tupate hela. Ndizi mbichi pia anauza
Msaidie mkuu .Aje Morogoro kwenye makampuni ya sukari afanye kazi shambani kuokota miwa inayododondoka barabarani. Mshahara laki mbili kwa mwezi, maladhi,uji na chakula cha mchana anapewa na kampuni bure
Ukiishi na mchina mmoja basi unamtumia huyo huyo mmoja kuwajulia tabia wachina wote yaani mmoja akiwa mbaya wote wanakuwa wabaya..Kanambia ashafanya ya hivi ila changamoto ni kuwa unakuta siku mauzo yakiwa madogo boss anachukua pesa yote nasema si unaona leo hela sio nyingi.
Naomba nitumie details zake PMMsaidie mkuu .