Msaada wakuu: Bsc.Ed v/s Bsc. Eng.

Msaada wakuu: Bsc.Ed v/s Bsc. Eng.

majitta one

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
204
Reaction score
14
KATI YA EDUCATION NA ENGINEERING NI IPI lNALIPA KATIKA UPATIKANAJI WA MKOPO NA AJIRA BAADA YA KUHITIMU..............!!!!
 
Jitahidi kufaulu Kwa weledi Mzuri utapata KaZi nzuri Kwa Kozi yoyote.. Tafutatafuta ki FIRST CLASS chenye GPA nzuri..
 
Kama kwenu salio ni tatizo kapige ualimu. Kama wewe mtoto wa kishua kasome Engineering maana hata usipopata ajira unauhakika wa msosi wa bure maskani. Pia utakuwa unatafuta kazi mdogo mdogo huku unajipanga. Serikali sikivu ina uhaba wa walimu hasa wa sayansi na algebra.
 
Algebra.. Good .. !
 
hizo zote mbwembwe we uliza engineer na teacher nani zaid kwa ujumla wake sio kwa vipengele hivyo vichache tu..
 
wakuu mimi nimepiga diploma ya MECHANICAL ENGINEERING. ila st.joseph university wanatoa bachalor ya education ktk masomo ya science na zaidi unaopt katika somo moja tu. kwetu sisi tuliopiga technical college tuna fursa ya kuomba coz tangazo lao linajieleza na pia niliwasiliana nao kwa simu wakanambia tunaomba tcu.
 
KATI YA EDUCATION NA ENGINEERING NI IPI lNALIPA KATIKA UPATIKANAJI WA MKOPO NA AJIRA BAADA YA KUHITIMU..............!!!!
''If you don't stand for Something you will fail for anything''

Do whatever you want to do because life always direct us to do right thing.
 
usipoteze muda kwenda kuwa mwalimu, kachukue degree yako DIT, MIST au hapo ulipoanzia Mech eng. three years tu.
 
usipoteze muda kwenda kuwa mwalimu, kachukue degree yako DIT, MIST au hapo ulipoanzia Mech eng. three years tu.

MKUU NILIHITIMU 2011 DECEMBA. JE NAWEZA PATA MKOPO BODI? GPA NI 3.6
 
Vigezo ninavyo yva kutosha. Ila kwa tz hata kama una vigezo unatoswa tu.
 
usipoteze muda kwenda kuwa mwalimu, kachukue degree yako DIT, MIST au hapo ulipoanzia Mech eng. three years tu.

MKUU NILIHITIMU 2011 DECEMBA. JE NAWEZA PATA MKOPO BODI? GPA NI 3.6

Mkopo unaweza kupata.Mi kuna jamaa namjua alimaliza FTC civil engineering mwaka 2003 ni muajiliwa wa taasisi ya serikali na bado kapata mkopo zaidi ya asilimia 80

Wewe juzi tu unajistukia!!!
 
Achana na mambo ya ualimu.

Wewe ni engineer!!!!It should stick that way
 
Mkuu kuna fununu kuwa kama umekaa 3years bila kuomba basi umepoteza sifa za kupata loan
 
KATI YA EDUCATION NA ENGINEERING NI IPI lNALIPA KATIKA UPATIKANAJI WA MKOPO NA AJIRA BAADA YA KUHITIMU..............!!!!

Unataka eng. Ya nini na Bsc. Ed. Ya nini?

Any way zote zinalipa, chamuhimu, listen to your heart.
 
mkuu mwaka huu naomba ila nilitaka kujua coz kuna kauli za kunikatisha tamaa toka kwa wadau kuwa nimekaa mda mrefu bila kuombA SO BODI INAJUA NINA KAZI NAWEZA JILIPIA GHARANA ZOTE.

AHSANTENI KWA USHAURI WENU WAKUU.
 
Back
Top Bottom