majitta one
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 204
- 14
KATI YA EDUCATION NA ENGINEERING NI IPI lNALIPA KATIKA UPATIKANAJI WA MKOPO NA AJIRA BAADA YA KUHITIMU..............!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Algebra.. Good .. !Kama kwenu salio ni tatizo kapige ualimu. Kama wewe mtoto wa kishua kasome Engineering maana hata usipopata ajira unauhakika wa msosi wa bure maskani. Pia utakuwa unatafuta kazi mdogo mdogo huku unajipanga. Serikali sikivu ina uhaba wa walimu hasa wa sayansi na algebra.
''If you don't stand for Something you will fail for anything''KATI YA EDUCATION NA ENGINEERING NI IPI lNALIPA KATIKA UPATIKANAJI WA MKOPO NA AJIRA BAADA YA KUHITIMU..............!!!!
usipoteze muda kwenda kuwa mwalimu, kachukue degree yako DIT, MIST au hapo ulipoanzia Mech eng. three years tu.
MKUU NILIHITIMU 2011 DECEMBA. JE NAWEZA PATA MKOPO BODI? GPA NI 3.6
KATI YA EDUCATION NA ENGINEERING NI IPI lNALIPA KATIKA UPATIKANAJI WA MKOPO NA AJIRA BAADA YA KUHITIMU..............!!!!
hizo zote mbwembwe we uliza engineer na teacher nani zaid kwa ujumla wake sio kwa vipengele hivyo vichache tu..
Vigezo ninavyo yva kutosha. Ila kwa tz hata kama una vigezo unatoswa tu.