Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

Hypershulemia

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
275
Reaction score
841
Habari Wakuu,

Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?

Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania.

Naombeni msaada pls!
 
City College
Decca College

Ingia google, search utapata majina mengi na kudodosa chuo kizuri ukitakacho
 
Nkinga Health Institute kipo Tabora.

Nakushauri tafuta chuo chochote kinachofundisha masomo ya taaluma ya mionzi (Radiology) kwakuwa wataalamu "wabobevu" wa fani hiyo katika sekta ya afya ni wachache mno! Ajira ni rahisi zaidi kupata ukilinganisha na wanataaluma wengine.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom