Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania.
Nakushauri tafuta chuo chochote kinachofundisha masomo ya taaluma ya mionzi (Radiology) kwakuwa wataalamu "wabobevu" wa fani hiyo katika sekta ya afya ni wachache mno! Ajira ni rahisi zaidi kupata ukilinganisha na wanataaluma wengine.