yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Asante mkuu. Tulishaenda hospital moja ya private, aliandikiwa dawa ghali sana. Alitumia lakini wapi.anza ngazi ya chini tu mkuu, hasa za private kusiko na foleni.
Unakutana na dk ametulia
Mkuu huenda siyo yeye inawezekana hilo tatizo ukawa nalo hata wewe vipi wewe umeshajaribu kwa mwingine ukajiona upo fit?Asante mkuu. Tulishaenda hospital moja ya private, aliandikiwa dawa ghali sana. Alitumia lakini wapi.
Yeah nlishajaribu mkuu. Mi nko fitMkuu huenda siyo yeye inawezekana hilo tatizo ukawa nalo hata wewe vipi wewe umeshajaribu kwa mwingine ukajiona upo fit?
Ukiwa fit miaka mitatu nyuma haimaanishi umeendelea kuwa fit hadi sasa, vema kila anapopima yeye, pimwa na wewe pia, unaweza kuwa surprised...!!!Yeah nlishajaribu mkuu. Mi nko fit