Msaada wakuu. ipi hospitali nzuri kwa wanawake?

Msaada wakuu. ipi hospitali nzuri kwa wanawake?

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Naomba kufahamishwa ipi hospitali nzuri kwa masuala ya wanawake hapa Dar. Hasa kwa suala la kutopata mimba.

Natanguliza shukran.
 
anza ngazi ya chini tu mkuu, hasa za private kusiko na foleni.
Unakutana na dk ametulia
 
anza ngazi ya chini tu mkuu, hasa za private kusiko na foleni.
Unakutana na dk ametulia
Asante mkuu. Tulishaenda hospital moja ya private, aliandikiwa dawa ghali sana. Alitumia lakini wapi.
 
Back
Top Bottom