Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Hapo ndio shida ilipo kumbe basi. Anza kuongea na ndugu wengine na tegemea pande mbili, wapo watakaokuunga mkono na wapo watakaosema baba mdogo kakutunza maisha yote sasa unamgeuka unaona hafai, usijali, muhimu we pambana unavyoona inakufaa. Kama ukiamua kwenda front jua vita haitakuwa kati yako na baba mdogo itakuwa kati ya ndugu na ndugu. Muhimu simamia kwa kile unachokiona kinafaa kwakoImepangishwa kodi anachukua yeye