Msaada wakuu kuhusu PayPal

Msaada wakuu kuhusu PayPal

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Ni mtumiaji mzuri wa PayPal lakini shida inakuja napotumiwa pesa kutoka nje ya nchi huwa sioni ikifika moja kwa moja kwenye account yangu ya bank naombeni msaada wenu tafadhari mwenye kujua hili
 
Nunua line ya safaricom unajisajili Kama raia wa Kenya then utaweza kutoa pesa yako kwa account ya bank ama Mpesa, niliwah kupata changamoto sana na paypal ni nzuri kufanya manunuzi online but ukitumiwa wewe pesa ndio shida inakuwa kutoa, baada ya kufatilia nkasikia ni BOT ndio shida hawana memorandum of understanding na hio kitu nikaamua kuhamia Skrill account
 
Ni mtumiaji mzuri wa PayPal lakini shida inakuja napotumiwa pesa kutoka nje ya nchi huwa sioni ikifika moja kwa moja kwenye account yangu ya bank naombeni msaada wenu tafadhari mwenye kujua hili

Kama jamaa alivyokujibu hapo juu, ni financial regulations za Tz ndo shida kwenye issue ya kupokea fedha kutoka nje. Natumia Paypal since 2010, sijawahi pokea fedha toka nje, zaidi ya kutuma tu. Ni Skrill tu nimetumia peke yake kupokea.

Kindly check below response from Paypal Team on receiving money in Tz.

Thanks.

1079888
 
So mkuu pesa yangu siipati tena ?
Kama jamaa alivyokujibu hapo juu, ni financial regulations za Tz ndo shida kwenye issue ya kupokea fedha kutoka nje. Natumia Paypal since 2010, sijawahi pokea fedha toka nje, zaidi ya kutuma tu. Ni Skrill tu nimetumia peke yake kupokea.

Kindly check below response from Paypal Team on receiving money in Tz.

Thanks.

View attachment 1079888
 
Back
Top Bottom