Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtumiaji mzuri wa PayPal lakini shida inakuja napotumiwa pesa kutoka nje ya nchi huwa sioni ikifika moja kwa moja kwenye account yangu ya bank naombeni msaada wenu tafadhari mwenye kujua hili
Kama jamaa alivyokujibu hapo juu, ni financial regulations za Tz ndo shida kwenye issue ya kupokea fedha kutoka nje. Natumia Paypal since 2010, sijawahi pokea fedha toka nje, zaidi ya kutuma tu. Ni Skrill tu nimetumia peke yake kupokea.
Kindly check below response from Paypal Team on receiving money in Tz.
Thanks.
View attachment 1079888