Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
Kwanini hujajibu PM?Siku hizi napita tu humu bila kuchangia.....
Kwanini hujajibu PM?
Ungetudadavulia angalau kinaga ubaga nini kinakusibu, unaweza pata msaada zaidi kuliko kumuaminia tu CAMARADERIE.
Pole mkulu, ulikataa kuficha uchi nini?(utani), usije ukaficha maradhi lakini, usipopata utatuzi ni PM mkuu.We baba we loh! Mwenzio ninaumwa ndani ya nguo kwenye sehemu ile ambayo hatuoneshabi hadharani
Aaah, basi kaushia, lakini usipotee sasa hadi watu wanakusaka kama Osama.You make me laugh.....hata hilo wataka kujua?