Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alichangia mifuko ya hifadhi kwa muda usiopungua miaka kumi na mitano, ana haki ya kupata Pension.Ni nini stahiki za hawa watu wawili:
1.) Ameachishwa kazi akiwa na umri wa miaka 56, na ametumikia Serikalini muda wa miaka 36.
2.) Amefukuzwa kazi akiwa na miaka 58, na ametumikia Serikalini miaka 40.
Naomba msaada wenu tafadhali.
Haki ya huyo Mtu wako utaipata pale tu ukituliza Akili zako na ukijua pia kuyatofautisha Kimantiki ( Logically ) na Kisheria ( Legally ) haya Maneno mawili uliyoyatumia hapa Kiuwasilishaji ya Ameachishwa Kazi na Amefukuzwa Kazi.Ni nini stahiki za hawa watu wawili:
1.) Ameachishwa kazi akiwa na umri wa miaka 56, na ametumikia Serikalini muda wa miaka 36.
2.) Amefukuzwa kazi akiwa na miaka 58, na ametumikia Serikalini miaka 40.
Naomba msaada wenu tafadhali.
hata kama ametumiakia miaka miwili, pension yake atapata, ni hela yakeKama alichangia mifuko ya hifadhi kwa muda usiopungua miaka kumi na mitano, ana haki ya kupata Pension.
YesAtapata pesa zake,alizochangia kwenye mifuko..
Huna akilihata kama ametumiakia miaka miwili, pension yake atapata, ni hela yake
Nakazia. Kama kwa akili zake mwenyewe hawezi kuyatofautisha, basi sio mbaya kama akienda kuomba msaada wa Ufafanuzi kwa Watu/Wataalam (Rasilimali- watu i.e. Maafisa Utumishi (HRO) wanayaelewa vizuri).Haki ya huyo Mtu wako utaipata pale tu ukituliza Akili zako na ukijua pia kuyatofautisha Kimantiki ( Logically ) na Kisheria ( Legally ) haya Maneno mawili uliyoyatumia hapa Kiuwasilishaji ya Ameachishwa Kazi na Amefukuzwa Kazi.
Kila Ia Kheri.
Ile third mpaka maisha? (yaani ya basic salary kama sikosei)Kama alichangia mifuko ya hifadhi kwa muda usiopungua miaka kumi na mitano, ana haki ya kupata Pension.
Sijajua Ni kiwango gani ila huwa wanapata kila mwezi. Tena siku hizi wengine mpaka wanakopea kabisa Bank.Ile third mpaka maisha? (yaani ya basic salary kama sikosei)
Nimeuliza stahiki, sijauliza tofauti!Nakazia. Kama kwa akili zake mwenyewe hawezi kuyatofautisha, basi sio mbaya kama akienda kuomba msaada wa Ufafanuzi kwa Watu/Wataalam (Rasilimali- watu i.e. Maafisa Utumishi (HRO) wanayaelewa vizuri).
Sorry, ni kwa wote wawili au kwa yule aliyeachishwa kazi?Sijajua Ni kiwango gani ila huwa wanapata kila mwezi. Tena siku hizi wengine mpaka wanakopea kabisa Bank.
Mifuko ya hifadhi haiangalii kama umeacha kazi, umefukuzwa au umestaafu.S
Sorry, ni kwa wote wawili au kwa yule aliyeachishwa kazi?
Sawa Mkuu. Sasa aende akapate stahiki zake.Nimeuliza stahiki, sijauliza tofauti!
Tofauti naijua vizuri sana kuliko unavyofokiri.
Kwa majibu yako hayo nadhani hata shule nimekuzidi kwa mbali sana!
Asante sana Mkuu, taarifa nzuri sana.Mifuko ya hifadhi haiangalii kama umeacha kazi, umefukuzwa au umestaafu.
Wao wanachoangalia Ni kama michango yako ipo na umechangia kwa muda gani.
Kisheria ukichangia kwa miezi 180 ( miaka 15 ) una sifa ya kupata Pension kama wastaafu wengine.
Kama hujachangia kwa miaka 15 then Happ hutapata pension ila utapewa either.
1- Upewe Fao la KUTOKUWA na AJIRA ( 33.3% ya mshahara wako was mwisho kwa muda wa miezi 6 ) wakiamini baada ya muda huo utapata kazi sehemu nyingine uendeleze mfuko wako.
2- Kama kazi uliyokuwa unafanya siyo ya kitaaluma kama Ulinzi, Jeshi, Kibarua then kama hujachangia miaka 15 unaweza kupewa Fao la kujitoa kwa maana fungu lako lote ulilochangia.
3- Kama hujachangia miaka 15 halafu umeshafikisha miaka ya kustaafu ( 55 au 60 ) Nadhani utapewa tu michango yako ulilochangia basi unakula Kona. Hakuna Pension ya kila mwezi.
Note: Kumbuka pension na fao la kila mwezi hutumia kikokotoo tofauti.
Lakini fao la kujitoa maana yake unapewa michango yako yote ulilochangia ndani ya mfuko basi.