msaada wakuu,mbona yangu nyekundu lakini yake nyeupe!!

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
kuna mdogo wangu,anatatizo,mi nikiangalia sehemu yangu ya uume kwa ndani(njia ya mkojo)kuna rangi nyekundu ambayo ni kawaida,sasa mdogo wangu yake ni nyeupe na kama kuna vi usaha kwa mbali!na kuna muwasho,na mwilini ana vipele vinavyowasha.cha ajabu nimempeleka hospital mbalimbali,wakampima VDRL,MKOJO,wakasema hakuna tatizo,na hata fungus hana!sasa itakuwa ni nini?msaada wakuu kwani hapa ni alpha na omega.
 
wewe umeisha ambiwa kuwa hakuna tatizo, sa wewe unatafuta nini? Alafu haya mambo ya kupekechuana na mdogo wako, mmm? Una miaka mingapi mkuu?
 
wewe una matatizo makubwa sana. kamuone doctor haraka. nenda hosptal kubwa.
 
mdogo wako kapimwa yuko fit,automatically wewe utakuwa na matatizo!!kwa nini wewe usiende kupimwa!
 
wewe umeisha ambiwa kuwa hakuna tatizo, sa wewe unatafuta nini? Alafu haya mambo ya kupekechuana na mdogo wako, mmm? Una miaka mingapi mkuu?

Kama hujaelewa ki2 c lazima,uchangie,mi nimesema,kwa upande wangu sina tatizo,ila yeye baada ya kuona hiyo hali ndio akaja nionyesha na kweli niligundua c hali ya kawaida,na anadai anawashawa,sasa yaha mambo ya kuwa ooh una umri gani? Yanatoka wapi?kwenye ugonjwa hata mama/baba yako unamuonyesha,sembuse mdogo wangu tena wa kiume!na hapa ni sehemu ya wa2 wanaoweza kusaidia wa2,sio jukwaa la siasa unakulupuka 2!jipange kaka tena sana.sio lazima kila mada uchangie.
 
Yani wewe ni wa kike afu unamwonyesha mdogo wako wa kiume?? au mi sijaelewa?
 
jamani kama hujui siuna kaa kimya tu lazima uchangie? naomba mpaleke kwenye hospitali kubwa maana hizi ndogo hazina vifaa na wataam wakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…