white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
kuna mdogo wangu,anatatizo,mi nikiangalia sehemu yangu ya uume kwa ndani(njia ya mkojo)kuna rangi nyekundu ambayo ni kawaida,sasa mdogo wangu yake ni nyeupe na kama kuna vi usaha kwa mbali!na kuna muwasho,na mwilini ana vipele vinavyowasha.cha ajabu nimempeleka hospital mbalimbali,wakampima VDRL,MKOJO,wakasema hakuna tatizo,na hata fungus hana!sasa itakuwa ni nini?msaada wakuu kwani hapa ni alpha na omega.